Kuza Biashara yako Kwa Kutumia Mfumo wa DukaSmart
Mfumo huu utakusaidia kufuatilia hatua za biashara yako, ukuaji na ushukaji wa mapato.

DukaSmart ni Nini??
Ni mfumo wa kidijitali unaomsaidia mfanyabiashara kuendesha biashara yake kisasa kwa kutumia kifaa cha kielektroniki kama simu janja, tablet, au kompyuta. Kutunza rekodi na kutoa ripoti za bidhaa, mauzo, faida, hasara, matumizi, wateja, madeni n.k
Faida za Kutumia Mfumo wa DukaSmart
- Inaokoa Muda
- Ni Rahisi Kutumia
- Usalama wa Taarifa
- Biashara Zako zote Ndani ya Akaunti Moja
- Taarifa za Kila Siku

Kwanini Utumie DukaSmart?
Ni mfumo wa kidijitali unaomsaidia mfanyabiashara kuendesha biashara yake kisasa kwa kutumia kifaa cha kielektroniki kama simu janja, tablet, au kompyuta.
Faida za kutumia DukaSmart
Ni mfumo wa kidijitali unaomsaidia mfanyabiashara kuendesha biashara yake kisasa kwa kutumia kifaa cha kielektroniki kama simu janja, tablet, au kompyuta.
Inaokoa Muda
Hauhitaji kupoteza muda kufanya mahesabu ya Mauzo, Faida, Matumizi, Bidhaa n.k kwenye Biashara yako, DukaSmart itakufanyia ndani ya sekunde kwa kubonyeza kitufe.
Usalama wa Taarifa
Ni salama kutunza taarifa zako kwenye mfumo kuliko kwenye makarasi. Kwenye mfumo, taarifa zako zitakaa milele na kwa siri.
Ni rahisi kutumia
Hauhitaji kuwa na Elimu ya juu ili kutumia DukaSmart. Unahitaji kujua kusoma na kuandika tu.
Biashara zako zote ndani ya Akaunti moja
Hauhitaji kuwa na akaunti nyingi kuendesha biashara zako. Fungua akaunti moja ndani ya DukaSmart kisha endesha biashara zako zote ndani yake.
Gharama za kutumia Mfumo
Gharama zetu ni nafuu sana. Tumia Siku 7 BURE
Mwezi
Kwa Kila Duka
Je, Mfumo Unafanyaje Kazi?
Ni Rahisi sana kutumia Mfumo wa DukaSmart kwa kufuata Hatua Hizi
Jisajili
Jisajili kwa Kubofya "Jisajili Hapa" na Kutenegeneza Akaunti yako
Ingiza Bidhaa au Huduma
Anza Kwa kusajili Bidhaa zako au Huduma unazotoa (Jina, Bei ya kuuza, Bei ya Kununua na Idadi).
Fanya Mauzo
Anza Kufanya Mauzo kwa kutumia POS iliyopo Katika Mfumo
Pata Ripoti
Pata Ripoti Mbalimbali za Biashara Yako Kwa kutembelea Linki ya Ripoti.
5K+
Wafanyabiashara
85%+
Mauzo
95x
Ukuaji wa Biashara